الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا وَإِلَيْهِ النُّشُورُ
Maana
Sifa zote njema ni za Allah, Aliyetuhuisha baada ya kutufisha (kwa usingizi), na Kwake ndiko kufufuliwa.
Matamshi
Alhamdu lillahil-ladhi ahyana ba'da ma amatana wa ilayhin-nushur.
Chanzo: Al-Bukhari, 6324
