Dua Zangu za Kwanza
← Kadi zote

Dua kwa wazazi

Dua kwa wazazi — Mola wangu, warehemu wao wawili kama walivyonilea nilipokuwa mdogo.
Ongeza kwenye kitabu maalum

رَبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيرًا

Maana

Mola wangu, warehemu wao wawili kama walivyonilea nilipokuwa mdogo.

Matamshi

Rabbir-hamhuma kama rabbayani saghira.

Chanzo: Qur'ani, 17:24

Dua zote